COMBINATION NA AINA YA KAZI UTAKAYOFANYA



Combination za masomo kama vile PCB, CBG, PCM, PGM, EGM, ECA, HGK, HKL, HGL, KLF, na HGE hutoa tafsiri kamili, Hasa katika kazi mbalimbali tutakazoweza kufanya baada ya kumaliza elimu ya secondary katika kuelekea elimu ya juu (UNIVERSITY). 
 
Elimu ya juu (UNIVERSITY) hutoa kozi mbalimbali ambazo huchaguliwa kulingana na Combination uliyosoma. Bofya kitufe hapo chini kutazama Combination mbalimbali na aina ya kazi ambayo utaweza kufanya.
 
👇 EARN REAL MONEY WITH ADSTERRA 👇

 
 VIEW COMBINATION NA AINA YA KAZI UTAKAYOFANYA
 


👇 EARN REAL MONEY WITH ADSTERRA 👇


36 Comments

  1. Nikitaka marketing and business administration kuna criteria zipi

    ReplyDelete
  2. Ni cozi gan zenye kipaumbele na serikali za kibiashara

    ReplyDelete
  3. Je, aerospace engineering course inatolewa ndani ya nchi na vp kuhusu udhamini?

    ReplyDelete
  4. Eti kozi ya biotechnology and laboratory technology inahusika na nini baada ya kusoma unaweza kufanya kazi gan

    ReplyDelete
  5. Ok nit pale unaweza soma aircraft maintainance kwa PGM ?

    ReplyDelete
  6. Ok nit pale unaweza soma aircraft maintainance kwa PGM ?

    ReplyDelete
  7. Ni kazi gani unaweza kufanya baada ya kusoma CBN?

    ReplyDelete
  8. Ni kozi gani ya afya unaweza kusoma ukisomea CBG ambayo ina ajira

    ReplyDelete
    Replies
    1. Daktari wa mifugo na kilimo ,pharmacy ,nursing

      Delete
  9. Amos mathias ni kozi gan ya art ambayo itanisaidia nipate kaz nzur

    ReplyDelete
    Replies
    1. Inategemea ww mtazamo wako ni kazi ipi unaiona ni nzuri kwako?

      Delete
  10. Ni kaz gan unapata ukisomea HGE

    ReplyDelete
    Replies
    1. Habari! ukisomea HGE unafursa ya kupata mbalimbali zinazohusiana na masomo kama vile ualimu, mwanasheria, na zingine nyingi bofya link hapo chini iliuone fursa zaidi

      https://mayobe.weebly.com/combination.html

      Delete
    2. Bank and finance ,politics uanasheria ,geology and sometimes astronomy

      Delete
  11. EGM NI KOZI GANI ANAWEZA AKAOMBA?

    ReplyDelete
    Replies
    1. EGM ni combination ya Biashara hivyo anaweza akaomba kozi kama vile Bachelor au Diploma in financing, banking, na zingine nyingi katika hii hii website ameelezea vizur search kweny hii website Jobs for EGM combination

      Delete
  12. Hiv unaweza soma taxation kwa combination ya HKL

    ReplyDelete
    Replies
    1. HKL ni combination ya Arts, Kusoma Taxation inahitaji uwe umesoma mambo ya Business kupitia combination kama vile HGE, EGM, na ECA.

      Delete
    2. Nauliza kusomea psycology unachukua combi ipi

      Delete
  13. Nimemaliza 4m4 lakn nimepata division 3 je apo niende chuo au advance je kombi ya HGK inakazi gn

    ReplyDelete
    Replies
    1. Habari, kwa ushauri nitakaokupatia ni vizuri ukapitia Advance alaf pia combination ya HGK ina course nzuri tuu ambazo ajira zake zinapatikana kiurahisi na pia kujiajiri.

      Delete
  14. comb ya HGE na HGL naweza kupata ajira kwa uharaka kweli

    ReplyDelete
    Replies
    1. Habari! Kwa upande wa HGE na HGL ina course mbalimbali ukiingia chuo na kila course inategemea soko lake la ajira limekaaje.

      Delete
  15. Habari eti umaweza kusomea kozi ya business administration au accountancy kwa comb yoyote ile ya advance

    ReplyDelete
  16. Nataka kusomea nurse niwe na masomo yapi

    ReplyDelete
  17. HGE naweza kupata kaz gan na niwe nimefaulu kiasi gan

    ReplyDelete
  18. Eca naweza pata kazi gani

    ReplyDelete
  19. CBM nawez kupat kaz gan baadae

    ReplyDelete
  20. Psycology unasoma combi gani?

    ReplyDelete
  21. Daah lakin jamn hii cbg imedharaulika sana kwa mm ninavyoona

    ReplyDelete
  22. Ipi cos nzur kw aliesoma comb.. ya CBG, ambayo pia ina fursa za mapema

    ReplyDelete
  23. Comb yang aija balance ntapangiw wap

    ReplyDelete