CBG COMBINATION JOBS.
Combination ya CBG, au wengi wanapenda kuitamka kama mchepuo wa CBG ni mchepuo ambao umejumuisha masomo ya sayansi makuu matatu ambayo ni: Chemistry, Biology na Geography. Mchepuo huu unatumika katika shule za Advanced Secondary Level (High School).
Je Unawezaje kusomea mchepuo/ Combination ya CBG?
Iliuweze kusomea mchepuo wa CBG unatakiwa uweumezingatia yafuatayo:
Uwe umemaliza kidato cha nne.
Unatakiwa uwe na Ufaulu wa CCC Katika masomo haya matatu.
- Kwa Wasichana wameongezewa nafasi ya ufaulu ukipata CCD unaweza kusomea hii combination/ Mchepuo.
Pia kitu cha muhimu unatakiwa uwe umechagua shule yenye mchepuo wa CBG ili kuepuka kuchaguliwa shule na combination usioitaka.
CHEMISTRY Topics and Syllabus.
GEOGRAPHY Topics and Syllabus.
*You may be interested to check more on Past Papers za CBG Combination Tanzania Click here.
KOZI ZINAZOTOLEWA CHUONI KUTOKA KWENYE MCHEPUO WA CBG.
BACHELOR DEGREE
- Bachelor Degree in Maritime Transport and Nautical Science
- Bachelor of Science in Environmental Health sciences.
- Bachelor of Science in Regional Development Planning.
- Bachelor of Finance and Banking.
- Bachelor of Science in Environmental Laboratory Science and Technology.
- Bachelor of Degree in Computer Science.
- Bachelor Degree in Information Technology.
- Bachelor Degree in Marketing.
- Bachelor of Education in Science.
- Bachelor Degree in Wildlife management.
Wildlife officer.
Vertenary Doctor.
Banking.
Architecture.
Teacher.
Planning (urban, rural & regional).
CLICK HERE TO VIEW MORE ON COMBINATION JOBS
You may be interested in 10 reasons why you should study science subjects.
* Combination hii ni nzuri kuisoma kwa sababu inakupa wigo mkubwa wa Kuchagua Kozi na Kazi mbalimbali uendapo Chuo kikuu.
You May Also Be Interested In:
- Jobs for PCB Combination.
- Jobs for PCM Combination.
- Jobs for PGM Combination.
-
Jobs
for CBA Combination.
- Jobs for CBN Combination.
- Jobs for EGM Combination.
- Jobs for HGE Combination.
- Jobs for HKL Combination.
- Jobs for HGL Combination.
- Jobs for KLF Combination.
TUPE MREJESHO/ FEEDBACK FROM THIS ARTICLE.
1 Comments
What about nursing? Can I get nursing course from CBG combination?
ReplyDelete