PCM COMBINATION JOBS.
Combination ya PCM, au wengi wanapenda kuitamka kama mchepuo wa PCM ni mchepuo ambao umejumuisha masomo ya sayansi makuu matatu ambayo ni: Physics, Chemistry na Mathematics. Mchepuo huu unatumika katika shule za Advanced Secondary Level (High School).
Iliuweze kusomea mchepuo wa PCM unatakiwa uweumezingatia yafuatayo:
Uwe umemaliza kidato cha nne.
Unatakiwa uwe na Ufaulu wa CCC Katika masomo haya matatu.
- Kwa Wasichana wameongezewa nafasi ya ufaulu ukipata CCD unaweza kusomea hii combination/ Mchepuo.
Pia kitu cha muhimu unatakiwa uwe umechagua shule yenye mchepuo wa PCM ili kuepuka kuchaguliwa shule na combination usioitaka.
CHEMISTRY Topics and Syllabus.
MATHEMATICS Topics and Syllabus.
*You may be interested to check more on Past Papers za PCM Combination Tanzania Click here.
KOZI ZINAZOTOLEWA CHUONI KUTOKA KWENYE MCHEPUO WA PCM.
BACHELOR DEGREE
- Bachelor of Engineering in Electrical Engineering.
- Bachelor of Science in Regional Development Planning.
- Bachelor of Science in Accounting and Finance.
- Bachelor of Science in Environmental Laboratory Science and Technology.
- Bachelor of Degree in Computer Science.
- Bachelor Degree in Information Technology.
- Bachelor Degree in International Relations and Diplomacy.
- Bachelor Degree in Marketing.
- Bachelor of Education in Science.
Engineering.
Teacher.
Architecture.
Landscape & garden design.
Building & construction.
Planning (urban, rural & regional).
CLICKHERE TO VIEW MORE ON COMBINATION JOBS
You may be interested in 10 reasons why you should study science subjects.
* Combination hii ni nzuri kuisoma kwa sababu inakupa wigo mkubwa wa Kuchagua Kozi na Kazi mbalimbali uendapo Chuo kikuu.
- Jobs for PCB Combination.
- Jobs for PGM Combination.
- Jobs for CBG Combination.
-
Jobs
for CBA Combination.
- Jobs for CBN Combination.
- Jobs for EGM Combination.
- Jobs for HGE Combination.
- Jobs for HKL Combination.
- Jobs for HGL Combination.
- Jobs for KLF Combination.
TUPE MREJESHO/ FEEDBACK FROM THIS ARTICLE.



1 Comments
How about ports job?
ReplyDelete