PCB COMBINATION TANZANIA.

PCB COMBINATION JOBS.

Combination ya PCB, au wengi wanapenda kuitamka kama mchepuo wa PCB ni mchepuo ambao umejumuisha masomo ya sayansi makuu matatu ambayo ni: Physics, Chemistry na Biology. Mchepuo huu unatumika katika shule za Advanced Secondary Level (High School).

 


Je Unawezaje kusomea mchepuo/ Combination ya PCB?

Iliuweze kusomea mchepuo wa PCB unatakiwa uweumezingatia yafuatayo:

  1. Uwe umemaliza kidato cha nne.

  2. Unatakiwa uwe na Ufaulu wa CCC Katika masomo haya matatu.

    • Kwa Wasichana wameongezewa nafasi ya ufaulu ukipata CCD unaweza kusomea hii combination/ Mchepuo.
  3. Pia kitu cha muhimu unatakiwa uwe umechagua shule yenye mchepuo wa PCB ili kuepuka kuchaguliwa shule na combination usioitaka.


Topics na Syllabus utakazosoma ukichagua PCB Combination.

PHYSICS Topics and Syllabus.

CHEMISTRY Topics and Syllabus.

BIOLOGY Topics and Syllabus.


*You may be interested to check more on Past Papers za PCB Combination Tanzania Click here.


KOZI ZINAZOTOLEWA CHUONI KUTOKA KWENYE MCHEPUO WA PCB.

BACHELOR DEGREE

  • *ALL HEALTH PROGRAMME.
  • Bachelor of Science in Regional Development Planning.
  • Bachelor of Science in Accounting and Finance.
  • Bachelor of Science in Environmental Laboratory Science and Technology.
  • Bachelor of Degree in Computer Science.
  • Bachelor Degree in Information Technology.
  • Bachelor Degree in International Relations and Diplomacy.
  • Bachelor Degree in Marketing.
  • Bachelor of Education in Science.


KAZI UTAKAZOFANYA KUTOKANA NA MCHEPUO WA PCB.
  1. Doctor.

  2. Teacher.

  3. Architecture.

  4. Landscape & garden design.

  5. Building & construction.

  6. Planning (urban, rural & regional).

CLICKHERE TO VIEW MORE ON COMBINATION JOBS

 

You may be interested in 10 reasons why you should study science subjects.


* Combination hii ni nzuri kuisoma kwa sababu inakupa wigo mkubwa wa Kuchagua Kozi na Kazi mbalimbali uendapo Chuo kikuu.



You May Also Be Interested In:

  • Jobs for PCM Combination.
  • Jobs for PGM Combination.
  • Jobs for CBG Combination.
  • Jobs for CBA Combination.
  • Jobs for CBN Combination.
  • Jobs for EGM Combination.
  • Jobs for HGE Combination.
  • Jobs for HKL Combination.
  • Jobs for HGL Combination.
  • Jobs for KLF Combination.

TUPE MREJESHO/ FEEDBACK FROM THIS ARTICLE.

1 Comments